Makapuku Forum

Mi nilijua wote ni makapuku tu.
Hata kama ni mafukara, tatizo liko wapi? Mafukara hawana haki ya kuwa na jukwaa lao na kujadili ufukara wao?

Angalizo: Kuna makapuku mamilionea (in US $s) na wasomi wenye PhD zao wako huku wanapunguza msongo unaoweza kuletwa na habari zisizokoma kumhusu Bashite, Koromije, Gwajiii na "upuuzi" mwingine usio na tija!
 
Kasi ya huu uzi inanitisha.

Asubuhi ilikuwa nampongeza Shunie kwa 146k saa hizi ushafika 147k.

Kama ni gari basi Ngorika ya kipindi kile kabla ya tochi. Au Allys Sports Bus, Dar MWANZA spidi yake sio ya kitoto.

Mimi naeasubiria nitusue 150k ili nikae kwenye vitabu vya kumbukumbu.
 
msukuma kwenye ubora wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…