Mkuu mbona umetoa mfano kwa kutumia moyo wa binadamu wakati kikawaida moyo wa reptilia na amphibia huwa na chemba moja yaani one ventricle and one auricle
JE WAJUA?
Harrison Ford ndie mtu pekee anayeweza kuchukia na kufurahi na kutabasamu kwa wakati mmoja. Yaani upande mmoja wa sura anachukia mwingine ametabasamu kwa wakati mmoja