Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Tuko pamojaAnaendelea vizuri nashukuru,anaendelea na dawa ,asante kwa kujali.
Tuko pamojaAnaendelea vizuri nashukuru,anaendelea na dawa ,asante kwa kujali.
Jisogeze hapo hapo mkuu maana kwa usawa huu utakufa upo singoTuko pamoja
Duh!!! Sema kwao inalipa ila kibongobongo.....JE WAJUA??
Kwenye muvi ya The matrix Reloaded, kipande cha mapigano chenye dakika 17 kiligharimu Dollar million 40 kukizalisha/kukitengeneza
Ni zaidi ya kodo
Time will tellWewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!!
Surprise hiiJE WAJUA??
Leonardo da vinci ndie aliyegundua mkasi
Nani kakufundisha hako kaneno??Time will tell
OMG ilifanyika liniJE WAJUA??
Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian
Time will tellOMG bado ilifanyika lini
MukongoNani kakufundisha hako kaneno??
Maana unakatumia sana
Na wewe tena nani kakufundisha?Time will tell
Usione kidada kinakula CHOCOLATE halafu akatia KARATASI mkobani unasema MASHAALAH binti msafi hataki kutupa uchafu njiani
kumbe karatasi yaenda kulambwa nyumbani
![]()





Sipo mkuu"Ukiona swala anaringa saaana mbugani ujue simba ni boyfriend wake"
![]()