Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Umeshindaje?Nafurahi kusikia hivyo
Umeshindaje?Nafurahi kusikia hivyo
HahahahaUsione kidada kinakula CHOCOLATE halafu akatia KARATASI mkobani unasema MASHAALAH binti msafi hataki kutupa uchafu njiani
kumbe karatasi yaenda kulambwa nyumbani
![]()
Nataka nipewe neno mpaka Lucifer aniogopeJisogeze hapo hapo mkuu maana kwa usawa huu utakufa upo singo
Bongo hatuna muda huoDuh!!! Sema kwao inalipa ila kibongobongo.....
Usione kidada kinakula CHOCOLATE halafu akatia KARATASI mkobani unasema MASHAALAH binti msafi hataki kutupa uchafu njiani
kumbe karatasi yaenda kulambwa nyumbani
![]()

Hii inatufanya tusipande ngazi japo tunaambiwa kutembea ni mazoeziJE WAJU??
Panda ngazi za maghorofa huua watu 12,000 kwa mwaka ila lifti huua watu 27 tu kwa mwaka
Kweli kabisa
Tiba gani shemhahahah huyo ana tiba yake
Kwanini au huwa anakuwa ma busara sanahalaf lee wangu atakua anatumia weed![]()
Huna wapi wakati una boti 4Yeah lakini mm hata kazi ya kuchimba mtaro sina.
Shukrani mkuusantee diktekta na kwako pia
Asubuhi ulisema tofauti na muda huu vingineKwanini kamanda wangu
Pamoja sana mkuuUbariiwe Mussolin 5 kwa historia asante sana jioni njema.
Ni poa sanaMnaoneje leo kwenye je wajua tuishie hapo
Gharib Billali akawa anatembea nayo mfukoni.JE WAJUA??
Leonardo da vinci ndie aliyegundua mkasi
AiseeJE WAJUA??
Kila mwaka paka Milioni 4 wanaliwa nchini china
Kwa bajeti hyo tunapata movie ngapi kutoka Bongo Movie?JE WAJUA??
Kwenye muvi ya The matrix Reloaded, kipande cha mapigano chenye dakika 17 kiligharimu Dollar million 40 kukizalisha/kukitengeneza