Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Hiv mnaongeleaga nini humu?
[emoji31]JE WAJUA??
Google huajiri mbuzi 200 kila mara ili zile majani yaliyo kwenye mbuga za kiwanja ili kutoa nyasi
Acha kuvuta gundi [emoji13]Bora sisi tupo singo hatuna shida na mtu
Etieeh!!! [emoji38]mukongo nataka kujua tu hii si je wajua
[emoji34]atakujibu mwenyewe namuheshimu lee wangu siwezi ongea
MmmhJE WAJUA? ?
Mpaka mwaka 1975, ilikua ni haramu/kosa kuingia mji wa Chicago kama una sura mbaya
Ndio[emoji4]Mmmh
Nafurahi kusikia hivyoNimerudi kwa ajili yako
kwahiyo ukiwa na sura mbaya unarudishwaNdio[emoji4]
.....unauliza majani nyikani!!!kwahiyo ukiwa na sura mbaya unarudishwa
kama yako pia unarudishwa.....unauliza majani nyikani!!!
aya[emoji4]kama yako pia unarudishwa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Daima binadamu husema kilichojaa moyoni mwake lakini Mungu anamajibu :
Mithali 16:1-.maandalizi ya moyo ni ya mwanadamu ,na jibu la ulimi hutoka kwa Mungu....2 Matendo ya mwanadamu huonekana kuwa sawa machoni pake lakini Mwenyezi Mungu hupima nia ya mtu.....4 Mwenyezi-Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake ,hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi..
PROVERB 16:1-2The preparation of the heart belongs to man But the answer of the tongue is from the LORD....
Tulibaki wawili muda ule