Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Jokes.. Tupo nae sasaMbona jioni hii umedai upo single
Jokes.. Tupo nae sasaMbona jioni hii umedai upo single
Shauri yako utakosa diliJokes.. Tupo nae sasa
Kweli mkuu kabisa..MMU ni kwa ladies sana maana kila uzi ni kidume kinataka totoz tu mpaka inafikia unajiuliza hizi takwimu za wanawake ni wengi kuliko wanaume ni fake maana wanaume ndio wanatafuta wanawake.
Wonder
Dili lipi hilo joohShauri yako utakosa dili
Kama lile alilokupa LeeDili lipi hilo jooh
Nashangaa kaka Transcend kushinda kule au anaogopa zile nyuzi mpya mpya maana kuna mikogo kuleKweli mkuu kabisa..
MMU imenikalia kushoto kabisa
No lile alipewa RayvanBoy sio mmKama lile alilokupa Lee
Hahaaa bando lilimchachia hukuNashangaa kaka Transcend kushinda kule au anaogopa zile nyuzi mpya mpya maana kuna mikogo kule
Photoshop zina haribu uhalisiaPHOTOSHOP level Advance.
RIP Logic
Kiasi fulani zinaharibuPhotoshop zina haribu uhalisia
Unamkana mwenzakoNo lile alipewa RayvanBoy sio mm
Kila shetani na mbuyu wakeHahaaa bando lilimchachia huku
Ikabidi ahame mtandao
Sio kiasi ni sanaKiasi fulani zinaharibu
Hahaaa hebu potezea hizo banaaUnamkana mwenzako
Ndio nafaham ni kiasi kikubwaSio kiasi ni sana
Nasikia ulikua unaulizia njia salama ya kupuchukaKila shetani na mbuyu wake