Wewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!!

hahaha et harakati kama za pimbiWewe jamaa umenichekesha sana na harakati zako kama za pimbi. Vingine uwe unauliza ni vyamoto vinsunguza ohooo!!!!
Mkasi upi sasaJE WAJUA??
Leonardo da vinci ndie aliyegundua mkasi
mpk leo hiyo hela inaingiaJE WAJUA??
Ray J anatengeneza kiasi cha Dollar 30000 kwa mwezi kutoka kwenye mkanda wa ngono alifanya na kim Kardashian
Mkasi wa nguo bibieMkasi upi sasa
Yaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapimpk leo hiyo hela inaingia
Billion ya madafu au dollarzzzz???JE WAJUA??
Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu
Msaidieni nayy apate jamani si unaona anavamia mali za watuhahaha et harakati kama za pimbi
Dollars mkuu Mark pesa madafu hazijuiBillion ya madafu au dollarzzzz???
66,900k i.e milioni sitini na sita na laki tisaYaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi
sasa hivi ina waajiliwa wangpJE WAJUA??
Wakati Facebook inainunua Instagram kwa 1 Billion ilikua na waajiliwa 13 tu
OohMkasi wa nguo bibie
na Kim nae anapata au ni yy ray j peke akeYaan kila mwezi. Ni kama kamshahara sijui kwa pesa za madafu ni sh ngapi