Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahahaaa! NimekudakaOhooooo kipenzi changu paprie miss you sana
Daah sijui nisemeje
Hahahahaaa! NimekudakaOhooooo kipenzi changu paprie miss you sana
Daah sijui nisemeje
Hahahaaa! Daah! Nilisema hata week haipiti...Nakupenda papry halafu nasikia ulinikana eti
Yupo tuuNaomba mniambie alipo Bitoz
Hahahaaaa! Ray van boy unachekesha mdgo wanguHapana mpenz nilisema vile kama utani tu.
Mm sina mchepuko mpenz
Kwan mchepuko gani huyo??
Nakupenda mwenzio usinifanyie hivyoo
Mufc foreverAnasheherrekea kuuza kiwanja cha mtaaa wa sita
Yeeeeeeeees!milele amina dada ujue bora ukae tu kwa Transcend uondokane na mawazo ya babu anavyokusumbua
Dada Clkey pita huku...Mm mwenyewe bado o nakupenda paprie wangu naomba nisamehe


Mkuu ! Kila nikiona hiyo avatar najisikia kuchekaI missed you a lot
Paprika asante kwa kuja kutusalimia...Nilikua natangatanga huku na kule![]()
Mondray sweety![]()
![]()
![]()
![]()
!!!
Huko ulipolala niote barafu wa moyo wangu!!! Nimekusamehe na kusahau mazima!!!





Hahahahahaa!Ahsante mpenZ
Nakupenda mwenzio sana
Usisikilize watakayokuambia watu wa humu.
Nakuomba uje pm nina zawad yako mpenz
Unakimbia! I told you week haipiti..
Morning wakuuGoodmorning family
Amina mama mchungajiWapendwa naamini mmeamka salama wagonjwa Mungu awaponye,wenye changamoto yoyote Mungu awape wepesi na aonekane kwenu ,nawatakia siku njema,wiki njema yenye baraka tele.Amen
nilikua namtania malkiaMmmmh
hHahha nataman nikuone ukiwa unaugua![]()
![]()
ndio
mm apa ndio mpk shemela kaweka kambi mmu sbbu ya sakayoAhaaaaaaaah na wewe ????
viroba binamu anasema anakunywaVodka sio viroba dear...
hahahaha hivi nakupaga mawazoMawazo ya jana nimeamua nilale kwa bhinamu
![]()
![]()
![]()