Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio nakuambia sasa, kipenzi chako cha roho sijui alizingua nini wiki akapumzishwa couples zikabaki mbili tu tena hazina mashiko bora yenu imerudi kuwabamba wakongweAcha utani mkuu!
Ndio nakuambia sasa, kipenzi chako cha roho sijui alizingua nini wiki akapumzishwa couples zikabaki mbili tu tena hazina mashiko bora yenu imerudi kuwabamba wakongweAcha utani mkuu!
Mondray sweetyNdio nakuambia sasa, kipenzi chako cha roho sijui alizingua nini wiki akapumzishwa couples zikabaki mbili tu tena hazina mashiko bora yenu imerudi kuwabamba wakongwe
!!! Mondray sweety![]()
![]()
![]()
![]()
!!!
Huko ulipolala niote barafu wa moyo wangu!!! Nimekusamehe na kusahau mazima!!!

HahahahaTEACHER... look at the sky very well.
STUDENTS... : we are looking.. Sir
TEACHER... ok.. What do you see...??.
STUDENTS... Clouds...
TEACHER.. Did you see God..
STUDENTS... Nooo.....
TEACHER.... Which means there is no God....
(after that they went back to the class )
TEACHER.... Any Question?
DASHA.... I have question sir....
TEACHER...... Yes go on...
DASHA.... Sir can you please remove your cap.....
TEACHER... Of course yes...
DASHA.... Look at his head very well and tell me what you see ....
STUDENTS... We can see hair skin and so on....
DASHA.... did you see his Brain...???...
STUDENTS... Nooo..
DASHA ....ok Which means our teacher has no Brain... ..
(teacher fainted)
![]()
Ahsante mpenZMondray sweety![]()
![]()
![]()
![]()
!!!
Huko ulipolala niote barafu wa moyo wangu!!! Nimekusamehe na kusahau mazima!!!
Mkuu nondo zipo za kutosha nimekusanya sema tu naona watu humu hawaingiiTunataka Je wajua irudi
Ugomvi wa wapenda nao wala usiuingilie!!! Mi bado nampenda Mondray ivooo!

Mmmmhhahahhah malkia nashkuru kwa kunijari dear nilikua nakutania bana kumbe unanipenda![]()
Ahaaaaaaaah na wewe ????milele amina dada ujue bora ukae tu kwa Transcend uondokane na mawazo ya babu anavyokusumbua
Vodka sio viroba dear...hahaha atakua yupo kwa binamu yake obe anakunywa viroba na hii hali ya hewa
Mawazo ya jana nimeamua nilale kwa bhinamuhahahah baby wangu popote ulipo ukuje tu nakupenda yaan moyo unakusukuma ww tu lee wangu![]()

Ahsante mpenZ
Nakupenda mwenzio sana
Usisikilize watakayokuambia watu wa humu.
Nakuomba uje pm nina zawad yako mpenz

Sema Mkuu ,Ubarikiwe sanasana![]()
Shunie
Transcend
Bitoz
Paprika
Mondray
Ray van Boy
Shululu
Baily5
Sakayo
Ukhuty
Clkey
BlessedHope
Mussolin5
Queen Kan
Nyagei
Shimba Buyenze
[/IMG]
Kweli kabisa na histori ,Mkuu Mussolin5 atukumbuke na Mkuu Bitoz asisahau pichaTunataka Je wajua irudi