Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Hapana mpenz nilisema vile kama utani tu.Si ungeuliza na sababu za kukukana!!!
Umetukandia wadada weusi, unadhani bado ntabaki kwako? Mi cheusi mwenzio.
Alafu nilikufuma unaongea maneno matamu na mdada mwingine!!! Na kufuatilia nikagundua kua uko nae! Mi uchepuko siuwezi.
Mm sina mchepuko mpenz
Kwan mchepuko gani huyo??
Nakupenda mwenzio usinifanyie hivyoo




