Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Huyo wake kitamboHahahaaa! Daah! Nilisema hata week haipiti...
Umeona shemu wako shunie unakupigia chapuo kwa mrembo
Huyo wake kitamboHahahaaa! Daah! Nilisema hata week haipiti...
Aaah! Ile toto naipenda balaa...mm apa ndio mpk shemela kaweka kambi mmu sbbu ya sakayo
Aaah! Ile toto naipenda balaa...mm apa ndio mpk shemela kaweka kambi mmu sbbu ya sakayo
umepania kunivunjia ndoa uzuri baby ananijuaMzee wa show za kibabe nawaangalia tu,shunie ukija nambie my dear
AhaaaaahYeeeeeeeees!
Clkey akija hapa utajificha wapi sasa....Huyo wake kitambo
Umeona shemu wako shunie unakupigia chapuo kwa mrembo
sante kwa magazeti nawe piaTuwe na Siku njema wakuu
shukrani mama mchungaji na kwako piaWapendwa naamini mmeamka salama wagonjwa Mungu awaponye,wenye changamoto yoyote Mungu awape wepesi na aonekane kwenu ,nawatakia siku njema,wiki njema yenye baraka tele.Amen
le kubwa jinga bwana kamremove Ruge kwenye group la friends of mzee wa koromije![]()
Le kubwa jinga nakuona aisee nakuona
.....

hivi utatulia lkn kama lee wanguYeeeeeeeees!
amekua dada tena tehDada Clkey pita huku...
Huyu ndo Ray van Boy wako![]()
Ray van wa clkey ,Clkey akija hapa utajificha wapi sasa....
Nilikutahadharisha siku ili....credibility yako ishashuka..
Muwe na siku njema wakuu!
Malikia wa moyo wangu Sakayo uwe na wakati maridhawa..



Hivi kweli shunie nahitaji kujielezea kwako tena...?hivi utatulia lkn kama lee wangu
ujue lee ata kama anafanya atakua anafanya kimya kimya


hahaha Transcend bwana kaamia mmu sbbu ya sakayoHuyo wake kitambo
Umeona shemu wako shunie unakupigia chapuo kwa mrembo
na dada nae n mtata sijui itakuajeAaah! Ile toto naipenda balaa...
Aaah! Ile toto naipenda balaa...
hahahhahahRay van wa clkey ,
Mondray wa paprika
Lee wa shunie
Transcend na sakayo
Shida iko wapi
Hahahaaaa! Rafiki ! Dada! Yote yake....amekua dada tena teh



Shunie, hebu niambie jinsia ya sakayohahaha Transcend bwana kaamia mmu sbbu ya sakayo