Ha ahahhaha, naamini sio Makapuku waliokuchongea
Ha ahahhaha! Mjomba, tukikamilisha deal mbona mambo yatakuwa poa sana, mimi boss wewe mjomba wa boss, inabaki kumlipa mganga tu.
Shunie ndo anajua alipo
shululu?
Labda tumtafute
Blessed hope BH aweza kuwa kaoteshwa