Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Pamoko.Asantee mkuu Dikteta
Pamoko.Asantee mkuu Dikteta
PoaHey gus mko poa.
Mama mchungajiYupo
Sio ndege ni bombadia/pipa/mchuma wa anagani/ kibombobombo
Amen dearnipo mama mchungaji Bwana Yesu asifiwe
Mkuu sikubahatika kufika hata 4m three
Matumizi ya kiswahili
Umebadilishia gia hewani nini?Sio ndege ni bombadia/pipa/mchuma wa anagani/ kibombobombo
KaribuHodi hodi hodi
Usisingizie shule mkuu elimu haina ukomo.Mkuu sikubahatika kufika hata 4m three
Mkuu mimi na shule tulishindana toka mapema. Sikupenda kusoma labisaUsisingizie shule mkuu elimu haina ukomo.
Ukianza na neno SI basi jua unakanusha wengi tunakanusha katika kuelekeza.
Basi humu utapata shule ya lazima tuMkuu mimi na shule tulishindana toka mapema. Sikupenda kusoma labisa
KaribuOndoeni Shaka, nitawaachia room, naenda kwa BH kwenye mkesha wa kupangilia pasaka.
Mjomba key copy unayo, karanga na mihogo iko pale pale
Nitakuwa kwa BH kwa maombi ya mnyororo tutaongea ijumaa .
Hahaaaa sherti kusiwe na fimbo + kuwahi namba maana ndio vilinisabisha kuacha shuleBasi humu utapata shule ya lazima tu
Huku uko free ni kueleweshwa tu kama tuitionHahaaaa sherti kusiwe na fimbo + kuwahi namba maana ndio vilinisabisha kuacha shule
Sawa kabisa mkuuHuku uko free ni kueleweshwa tu kama tuition
AsanteKaribu

Shunie, Lee, Dikteta Mussolini, Quigley na wadau wengine mko poa? Nilikuwa nimeandamwa na kupigwa ban lakini nipo. I hope mnaendeleaje vyema.