Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,847
Kweli wewe bangi nyeusi mkuuAsubuhi Njema mazeee
Kweli wewe bangi nyeusi mkuuAsubuhi Njema mazeee
Ahaaaaaaaaah kweliii jina linasadikiAsubuhi Njema mazeee
Karibu mkuu ...Ila polee na banKwema huku? Madenge, Mukongoman,Shunie, Lee, Dikteta Mussolini, Quigley na wadau wengine mko poa? Nilikuwa nimeandamwa na kupigwa ban lakini nipo. I hope mnaendeleaje vyema.
![]()
Ilikuwa ndiyo mara yangu ya kwanza kulimwa ban...ha ha haaa. Japo ni usumbufu lakini imenisaidia kupunguza munkari wa JF. Kuna kipindi nilikuwa nimezidisha aisee...Karibu mkuu ...Ila polee na ban
AhaaaaaaaaaaaahIlikuwa ndiyo mara yangu ya kwanza kulimwa ban...ha ha haaa. Japo ni usumbufu lakini imenisaidia kupunguza munkari wa JF. Kuna kipindi nilikuwa nimezidisha aisee...
Lee empress niajeAhaaaaaaaaaaaah
Pole sana mkuuKwema huku? Madenge, Mukongoman,Shunie, Lee, Dikteta Mussolini, Quigley na wadau wengine mko poa? Nilikuwa nimeandamwa na kupigwa ban lakini nipo. I hope mnaendeleaje vyema.
![]()
Ni kweli Mkuu Nyagei bado anaweza Na anaonekana ni mwepesi kujifunza so atumie muda mwingi kuchukua yaliyo msaadaUsisingizie shule mkuu elimu haina ukomo.
Ukianza na neno SI basi jua unakanusha wengi tunakanusha katika kuelekeza.
Hujachelewa bado unawezaMkuu sikubahatika kufika hata 4m three

Hahahahaaaa..umetisha Mkuu Nyagei
Pole sana Mungu akuponyeSi nimesema kua nipo hoi yaani naumwa
Very true
Njema mzima?ubarikiweHabari za hapa?
Pole unaendeleajeWakuu niko hoi balaaa
Toka asubuhi sijaamka kabisa
Mmmh nimeogopa!imekuaje?aisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipo
Ubarikiwe mkuuMorning kapukuz...
Lee asante kwa magazeti..
Mussolin5 asante kwa historia!
Bitoz asante kwa picha
Nawatakia siku njema wakuu
Asante sana ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siki njema.