Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahahhhh hatuna jinsiKimeo chetu, homa ya kupanda na kushuka.
hahahhhh hatuna jinsiKimeo chetu, homa ya kupanda na kushuka.
1993 - Paul Pogba anazaliwa.
Ni kiungo wa kati wa Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ndiye mchezaji ghali zaidi duniani kwasasa mara baada ya uhamisho wake wa Pauni 89 milioni kutoka Juventus kwenda Man Utd.
Ukishaingia kwenye siasa kutoka mpaka ufeTafakari ya kirat;
![]()
![]()
Unatoka kidogo?Morning kapukuz...
Lee asante kwa magazeti..
Mussolin5 asante kwa historia!
Bitoz asante kwa picha
Nawatakia siku njema wakuu
Jimbo liko wazi sasaaisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipo
Le Pogba huyu dogo yuko vizuri tatizo ni mzito1993 - Paul Pogba anazaliwa.
Ni kiungo wa kati wa Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ndiye mchezaji ghali zaidi duniani kwasasa mara baada ya uhamisho wake wa Pauni 89 milioni kutoka Juventus kwenda Man Utd.
Ungesema hivyo mkuu ningekupataPunguzaa viroba...series special thread...entertainment
Asantee mkuu DiktetaLeo katika Historia:
Niwatakie siki njema.
Pamojaaa sana mkuuuMorning kapukuz...
Lee asante kwa magazeti..
Mussolin5 asante kwa historia!
Bitoz asante kwa picha
Nawatakia siku njema wakuu
Msimu wa kumwagana huu ,kila mtu na zakeeaisee mahaba yote yale lady jaydee na mnigeria wake wamemwagana kazi ipo

Happy birthday to Liverpool..... Huyu jamaa baada ya kuleteana kisanga na kutengana na ndugu yake Everton.... sasa kafikisha miaka 125 ya uzee wake tangu March 15 1892.....
hahahhhh haiwezekani aiseeMsimu wa kumwagana huu ,kila mtu na zakee
![]()
![]()
![]()
hivi kante ndio naniAnamjua sana kante![]()
![]()
![]()
![]()