Makapuku Forum

Makapuku Forum

tutalala wote gheto kwa binamu atalala chini sisi tutalala kitandani

Ondoeni Shaka, nitawaachia room, naenda kwa BH kwenye mkesha wa kupangilia pasaka.

Mjomba key copy unayo, karanga na mihogo iko pale pale

Nitakuwa kwa BH kwa maombi ya mnyororo tutaongea ijumaa .
 
Binamu nimefurahi kutuachia gheto ila hiyo ya karanga na mihogo mmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom