Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Ngoja twende kabisa pale ambapo mafarisayo walimjaribu yesu wakimuuliza:1wakorintho 13:1 Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika,lakini kama sina Upendo Mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele 2 Tena ,naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe Wa Mungu,nikafahamu siri zote na kujua kila kitu;naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima,lakini kama sina Upendo Mimi si kitu 3 Nikitoa Mali yangu yote na kuwapa maskini,na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe,kama sina Upendo hiyo hainifai chochote 4. Mwenye Upendo huvumulia,hufadhili,mwenye Upendo hana wivu,hajidai wala hajivuni. 5Mwenye Upendo hakosi adabu ,hatafuti faida yake binafsi wala hana wepesi Wa hasira haweki kumbukumbu ya mabaya 6 hafurahii uovu,Bali hufurahia ukweli 7 mwenye Upendo huvumulia yote huamini yote na hu stahimili yote. 8. Upendo hauna kikomo kamwe....
Lililo kuu ni UPENDO
Mathayo 22: 36



mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?
Yesu akawajibu hivi,
Mathayo 22: 37-38



akamwambia, mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote,
Hii ndio amri iliyo kuu tena ni ya kwanza
Akaendelea mstari wa 39:
Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii mpende jirani yako kama nafsi yako
********Mwisho*********
Upendo ndio amri kuu! Show love to everyone around you
