Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jana ulipomkaribisha lileee jamaaaa kipi kiliendelea make usku nilichoka sana ata sikuuliza ...
Wewe jamaaa wewe
nilimalizana nae mda ule ule tu alijitambulisha jina lake akaniuliza na ww nikamwambia haya sio yaliyotuleta uku kwaheri nafunga bas lkn tulikua tumeshamalizana
Khaaaa sasa kuna maana gani ya kwenda privacy.
Mmmmmmh ila ulimfungulia mlango ..na mbona nilikukuta umechoka ??
Wivu kidonda ukiendekza utakonda na bashite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom