Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaa! HongeraTeh teh yaani nimejiunga jana tu leo nimekua Jf Expert member lol
Nipo vizur
Hahahaaa! HongeraTeh teh yaani nimejiunga jana tu leo nimekua Jf Expert member lol
Nipo vizur
Kapi tenaMkuu hako ni kausumbufu kwa wanaotumia simu ujue
Teh teh yaani nimejiunga jana tu leo nimekua Jf Expert member lol
Nipo vizur

Rudisha ile Avatar yako ya scofield basi...!Teh teh yaani nimejiunga jana tu leo nimekua Jf Expert member lol
Nipo vizur
Kukoti mada mkuuKapi tena
Ahsante ila nitazifuatilia nikipata time nzuri.Pole mkuu!
Nooo mm ni rayvan mwanamuziki nitaweka yangu mwenyeweRudisha ile Avatar yako ya scofield basi...!
Mbona page chache hizo mkuuAsubuhi tulianza page ya 3523 sasa hivi 3540![]()
Anza kusoma zote mm nimesoma thread nzimaMbona page chache hizo mkuu
Ili twende mubashara.Kukoti mada mkuu
Sori for my english sio good
Same to meIli twende mubashara.
Mimi pia ni user wa simu nakomaa kibishi tu
Mwenyewe hua nikitumia simu nasumbuka balaa bora pc maneno yanakua yame be wrapedIli twende mubashara.
Mimi pia ni user wa simu nakomaa kibishi tu
Hapo ni Dar mkuu??
Ndio Dar yetu hiyoHapo ni Dar mkuu??
Si bora mje kwetu huku western beach mfaidi maisha
Dadeki siwez kuja kuishi huko kamweNdio Dar yetu hiyo
Weka akiba ya maneno tuDadeki siwez kuja kuishi huko kamwe
Tumia simu maana maneno mengi yapo saved kwenye keyboard ya simu easy tuMwenyewe hua nikitumia simu nasumbuka balaa bora pc maneno yanakua yame be wraped