Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Location mkuu
Location mkuu
Sawa kutembea tu hukoWeka akiba ya maneno tu
Katavi au wapiHapo ni Dar mkuu??
Si bora mje kwetu huku western beach mfaidi maisha
Hua natumia nikiwa mbali na homeTumia simu maana maneno mengi yapo saved kwenye keyboard ya simu easy tu
Ujiji mkuuKatavi au wapi
Hapo jangwani karibu na parking ya mabasi ya mwendokasi.Location mkuu
Juu juu juu zaidiMakapuku juu
Tumeshazoea hayaSawa kutembea tu huko
Vizuri lakini kwa kuwa upo home muda huu enjoy tu wrapped wordsHua natumia nikiwa mbali na home
Yaaah ma boyVizuri lakini kwa kuwa upo home muda huu enjoy tu wrapped words
Hivi aliyewapa idea ya kuweka stand pale ni nani?Hapo jangwani karibu na parking ya mabasi ya mwendokasi.
Hapo sasa. Nilisikia kule parking ilibidi ivunjwe kwanza.Hivi aliyewapa idea ya kuweka stand pale ni nani?
Hivi wale jamaa wnaishi pale bado?Hapo jangwani karibu na parking ya mabasi ya mwendokasi.
Wauza kahawa kariakoo tukooo kuleeeeeeeeee....Hivi wale jamaa wnaishi pale bado?

Kwenyw setting za Jf yako umesett post ngapi per page?Tulianzia hapa
![]()
Sasa tuko hapa
![]()
Kweli MAKAPUKU tuko vizuri kushinda wakongwe
Karibu mkuu Kirisha!Huku makapuku raha sana
Kuna watu wabishi aiseeHivi wale jamaa wnaishi pale bado?