Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
[emoji385] [emoji385] Parabens TranscendKAPUKU WA SIKU ;
Tunatambua uwepo wa kapuku wote humu ndani ,nichukue nafasi hii kutambua uwepo wa mkuu kapuku TRANSCEND kuwa ndo kapuku wetu wa Siku ya Leo tar 13 march ..
Tunashukuru kwa mchango wako wa Leo