Makapuku Forum

Makapuku Forum

088b2e5bbd6492395f25a55f83982577.jpg
c16ae324ef0aeeccd7a1b81a8768669c.jpg
48932698f3b902a37a27b30ebc6edfb5.jpg

Wajapan wapo vizuri sekta ya uhandisi si unaikumbuka KONOIKE
....
Yap wako vizuri sana ila wanaopendwa kuimbwa ni MAREKANI.
 
1989 - Marko Marin anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Chelsea kutoka nchini Chelsea.

Katika misimu yake minne aliyokaa Chelsea kuanzia mwaka 2012 mpaka 2016 amekuwa ni mchezaji wa kutolewa kwa mkopo katika klabu mbalimbali kama vile Sevilla, Fiorentina nk

Ametwaa Europa League akiwa na Chelsea pamoja na Sevilla.

Kwasasa anakipiga Olimpiacos ya Ugiriki.
2b1e82638980356d10e9d5213132f151.jpg
b89a83e2bdc2ec79f16d64bcd0e02a87.jpg
c92c499464aae808ab4a850c6733378e.jpg
20093b4d164f7273e6655844b5a98043.jpg

Garasa
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom