Makapuku Forum

Makapuku Forum

1997 - Phoenix Lights zaonekana huko katika anga la mji wa Phoenix Jijini Arizona kwa wakazi wa Mji huo na mamilioni ya watu waliangalia kupitia Runinga.

Phoenix lights ni vifaa virukavyo angani ambavyo huwa havijulikani yaani Unidentified Flying Objects ( UFO ).
e211adb1b40d445742eedb68ab49ea57.jpg
01c06690729ca2f650cd6beaad48516c.jpg
be2769a7b65e4f607a94798462fbf985.jpg

Mbona na baiskeli ziliitwa phoenix au jina tu
....
 
1946 - Yonathan Netanyahu anazaliwa.

Ni kaka wa Waziri Mkuu wa sasa Israel Benjamin Netanyahu.

Alikuwa ni Kanali katika Jeshi la Ulinzi la Israel.

Alifariki katika uwanja wa kivita katika Operesheni Entebbe ndani ya Entebbe nchini Uganda, ambapo Wanajeshi wa Israel walienda kuokoa mateka Waliotekwa na Wapalestina na kugichwa Entebbe.
 
Dereva akiwa ndani ya gari alimwona mwanamke anauza matunda pembezoni mwa barabara. Baada ya kukubaliana bei ya kikapu kizima cha matunda akamwambia yule mwanamke akaweke matunda ndani ya buti ndipo apewe pesa yake.

Mwanamke akaenda kwenye buti akafungua badae akafunga bila kuweka matunda. Dereva baada ya kusikia buti ikifungwa akaondoa gari kwa kasi. SWALI JE HAPA NANI MWIZI. Dereva au Mwanamke?
 
1989 - Holger Badstuber anazaliwa.

Beki wa kati wa Bayern Munich aliyepo kwa mkopo Schakle 04 ambaye pia hucheza timu ya taifa ya Ujerumani.

Ni beki wa kati mwenye kipaji cha hali ya juu sana ila tatizo sugu la Majeruhi limemfanya ashindwe kuonesha uwezo wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom