Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ally kiba sio wa kumfanyia jokate hivyo daah hao ndio wanaume bwana unasota nae miaka mingi unamvumilia kwa kila kitu anakuja kuolewa mwingine hawajakaa ata mda mrefu Mungu atakusaidi jokate utapata mtu aliye sahihi kwako hunaga bahati na mahusiano maskini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imekuumaa baby ...
 
sanaaa kuna wanaume ni katili sana mtu anakupenda kwa moyo wake wote hakupendei umaarufu wako wala vipesa vyako halaf unakuja kumpa adhabu kubwa kama hiyo huyu dada nampenda sana katulia akiwa na mtu ni huyo huyo vituko anavyofanyiwa na kiba vyote anavumilia leo wa kufanyiwa adhabu hii namuombea Mungu ampe mwanaume aliye sahihi kwake ipo siku tu atafanikiwa.
 
Ngojaa mushenga aje
 
Back
Top Bottom