Makapuku Forum

Makapuku Forum

c914e09117cf9f8ae0320f77e1ea102c.jpg
9adfe1c9952a6f424372d6bd3af52e0b.jpg
9af489f7cd477e046f3114b04e76a076.jpg
c05d2f335365a5facbe484af19b97232.jpg

Vipara wanaflop Man Utd....mkumbuke na Barthez
.....
Aisee kwa Barthez nmekumbuka vituko vyake anaacha goli anaenda kucheza na yy mara ngoma inapigwa na wakat huo keshachelewa kurudi golini inakuwa goli hahahaha japo mm sio shabiki wa Manyau ila nlkuwa nampenda sana yule golikipa
 
1945 - Katika Vita kuu ya Pili ya Dunia: Ndege za Kijeshi za Marekani zashambulia mji wa Tokyo huko Japan na kuua takribani watu 100,000 wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.

Huo ulikuwa ni mfululizo wa mashambulizi wa ndege za kivita za Marekani katika anga la Japan kwa kutumia ndege aina ya B-29.
 
1952 - Fulgencio Batista anaongoza mapinduzi nchini Cuba na kujitangaza kama Rais wa Nchi hiyo ambapo aliongoza kidikteta.

Batista alikuwa ni kibaraka mkubwa wa Serikali ya Marekani.

Alikuja kutolewa madarakani katika Mapinduzi ya mwaka 1959 yaliyoongozwa na Wazalendo akina Fidel Castro, Camilo Cienfuegos, Huber Matos, Raul Castro, bila kumsahau baba wa mapinduzi hayo, Muargentina Ernest Che Guevara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom