Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Duuuuu hyo nayo mpya![]()
Kipara nu dalili ya upungufu wa akili
.....
Duuuuu hyo nayo mpya![]()
Kipara nu dalili ya upungufu wa akili
.....
HaswaaThe big five
Simu ya aina gani?Leo katika Historia:
1876 - Majaribio ya kwanza ya simu yafanywa baada ya ugunduzi uliofanywa na Alexander Bell.
Jirani, mambo!Duuuuu hyo nayo mpya
Leo katika Historia:
1876 - Majaribio ya kwanza ya simu yafanywa baada ya ugunduzi uliofanywa na Alexander Bell.
Itakuwa ndiye alikuwa role model wa Mandela1922 - Mwanaharakati Mahatma Gandhi anakamtwa na kuwekwa Kizuizini nchini India kabla ya kuhukumiwa jela miaka 6.
Ndiye aliyekuja kuipa Uhuru India kabla ya kuuliwa kwa risasi.
Jirani bwanaaa mie nmeamka salama salmini cjui wwJirani, mambo!
Japan alikuwa jeuri mno1945 - Katika Vita kuu ya Pili ya Dunia: Ndege za Kijeshi za Marekani zashambulia mji wa Tokyo huko Japan na kuua takribani watu 100,000 wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
Huo ulikuwa ni mfululizo wa mashambulizi wa ndege za kivita za Marekani katika anga la Japan kwa kutumia ndege aina ya B-29.
Niko poa kabisa dadanguJirani bwanaaa mie nmeamka salama salmini cjui ww
Duniani Wamepita watu jamani1952 - Fulgencio Batista anaongoza mapinduzi nchini Cuba na kujitangaza kama Rais wa Nchi hiyo ambapo aliongoza kidikteta.
Batista alikuwa ni kibaraka mkubwa wa Serikali ya Marekani.
Alikuja kutolewa madarakani katika Mapinduzi ya mwaka 1959 yaliyoongozwa na Wazalendo akina Fidel Castro, Camilo Cienfuegos, Huber Matos, Raul Castro, bila kumsahau baba wa mapinduzi hayo, Muargentina Ernest Che Guevara.
Aliyegundua smartphone ni nani?![]()
![]()
![]()
![]()
Now tuna smartphone
....
1922 - Mwanaharakati Mahatma Gandhi anakamtwa na kuwekwa Kizuizini nchini India kabla ya kuhukumiwa jela miaka 6.
Ndiye aliyekuja kuipa Uhuru India kabla ya kuuliwa kwa risasi.
Pamoja na ubabe wake wote huko alikalishwa1968 - Katika Vita ya Vietnam; Battle of Lima Site, Jeshi la Marekani lapoteza idadi kubwa ya askari wake wa anga kwa mkupuo.
Vita hiyo iliyotokea miaka ya 1960's - 1970's ilikuwa ni vita ya aina yake kwani ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kuzidiwa sana na kuamua kurudisha Majeshi nyumbani huku idadi kubwa ya askari wao wakishikiliwa kama wafungwa wa kivita ( P.O.W. ) katika magereza ya siri huko Vietnam.