Makapuku Forum

Makapuku Forum

3854a7e28737b0bbc712d6b0e2796b59.jpg
 
Enzi zetu Daftari ya Mazoezi lilikuwa na:-
Table 1-12
Kubadirisha Centigred Celisius kwenda fahrenheit
Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita n Milimita

Za wenzetu sasa (Kawambwa & Magembe Generation). Daftari zina picha za akina Messi, Ronaldo, John Cena, Undertaker na kila mbwembwe.. Halafu ndo unategemea wasipate Zero kweli.!
Elimu ilikuwa enzi zetu bwana..... Alaaa
Umenikumbusha kwa mbele kulikuwa na Simba, Twiga, Tembo, Chui na Kifaru
 
Wapendwa nawatakia ijumaa njema,kwa wagonjwa poleni sana mtapona matibabu muhimu na maombi kwa Mungu Baba,wanaopitia changamoto yoyote amini hauko peke yako usikate tamaa bado lipo tumaini tafuta ushauri, usiwaze peke yako Na naomba Mungu akutie nguvu,Mungu abariki kazi za mikono yenu ufanikiwe mbarikiwe sana sana .
 
Aminaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom