Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,926
Kawaida tu atasahau muombee tu muda unatibu..mtakua na amani tele

Kawaida tu atasahau muombee tu muda unatibu..mtakua na amani tele

Kwema mkuu! Mambo yanaenda sawia kabisa..Poa kabisa za kwa Lungu?
Ni nini?Hiyo sio bia
Wabongo sio wa mchezo mchezoEti chattle! Tz you with code words..![]()
Ni juiceNi nini?
NiteleMrembo, upo!
sad kwakweli kutiana umasikini tuAcha tu mkuu ,kuna mfanyabiashara kajiua Dodoma wamekamata mzigo wake wa viroba wa pesa nyingii,kashindwa kuvumilia so sad,na baltika zilivyojaa wengi tutawapoteza ....
hahahhah ile tam tamHahaaaa! Umeishaijua sasa...!
Nimeipost hiyo pic sababu ya 140k tuHaaaaaa! Mkuu paprika ni shemela tuu
aisee alikua anafkilia mkopo angelipajeNASIKIA ALICHUKUA MKOPO
Zinatoka abroad na wanaoingiza si unajua ni vigowgow!!!.....kuna mfanyabiasha Dom kajipiga risasa sababu ya mzigo wake wa thamani ya 1billion kukutwa store!!!Kama vp nazo wazpge marufuku tu
Inawezekana!alipewa maelekezo kuwa asiguse huo mzigo aendelee na biashara lakimi pale asitoe chochote akawa anakubali lakini haaaaaa,amefarikiNIMESIKIA. INASIKITISHA SANA.
Hahahaha Chattle!Ni wakazi wa chattle
Kweli mkuu bila hayo hatukamilikiYapo ili dunia iendelee
Hapo sawaAaaaargh! Nilimaanisha hii![]()
![]()
![]()
Mbona nilisikia walipewa muda ili wamalize mizigo iliyopo store?Inawezekana!alipewa maelekezo kuwa asiguse huo mzigo aendelee na biashara lakimi pale asitoe chochote akawa anakubali lakini haaaaaa,amefariki
Chattle juu juu juu zaidiHahahaha Chattle!