Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Shunie yaishe basi!mama mchungaji ni Transcend ndio alisema hivyo sio mm
Shunie yaishe basi!mama mchungaji ni Transcend ndio alisema hivyo sio mm
NdioBaba mchungaji unaijua??
biere without alcoholBrother karibuMrembo, upo!
Mutoto ya ndama ni aje?
NapitaWerrason vipi unakimbia?![]()
Ndoo ina 28cmJe Wajua:
Rula ya sentimita 30 ni ndefu kuliko kindoo kidogo cha maji.
Pima leta mrejesho.
Nipo mkuu nawaonaUpo mkuu?
Tulia na Paprika mkuu! Au nimuite sasa hivi aje... Mwenyewe kasema ananizimikia .
Sema nakuheshimu mdogo wangu.

Neno limekuingiaNamtania tuu ! Transcend anawapenda rafiki zake!
Shunie and Lee empire nawapenda wotee
??¿??¿Namlinda na watu kama mondray
Utabwagwa!!!weka buana kazi kwake
Utabiri wako tafadhaliKabumbu ya Barca vs PsG
Kawaida tu atasahau muombee tu muda unatibu..mtakua na amani teleMkuu
Hii arsenal inaharibu mahusiano yangu na Clkey...
Yaani wakati wanasayansi wakisema tule sukari guru mara 4 kwa week ...
Clkey ananibania kisa Arsenal wamefungwa..![]()
Wala mkuu! Kawaida ya Transcend...very humble.Neno limekuingia
Hiyo sio biaBaltika ni biere without alcohol
Hahaaaa! Take me easy brooh!
Who's he/she?JE WAJUA??
Akiwa na mika 5 Ayan Quresh alifaulu mtihani wa Microsoft IT Technician
Lugha iliyosafiri au za humu humu ndani?Kuna mtu kakimbia Jiji kwa kuogopa Ugeni. Tatizo lugha.
Kama vp nazo wazpge marufuku tuBaltika ni biere without alcohol