Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Uko vizuri

Uko vizuri

Leo watu hawatoamini matokeoKaka Mussolini5..!
Nasikia kutakuwa na msiba maeneo ya Catalunya leo..
Zaidi ya HDJE WAJUAAA?
Kuwa Jicho la binadamu lingekuwa Camera, ingekuwa Camera yenge megapixel 576
![]()
Asante sana mkuu ubarikiwe kutukumbuka..Happy womens day kwa wale wa jinsia ya Eva
mama mchungaji ni Transcend ndio alisema hivyo sio mmManeno huumba jitahidi kuongea visivyoumiza.
hahaha utani unaoendana na ukweli sitaki mmUtani ule shemeji yangu! Kweli mimi wa kukufanyia hivyo...?
Matokeo gani?Leo watu hawatoamini matokeo
Namtania tuu ! Transcend anawapenda rafiki zake!Maneno huumba jitahidi kuongea visivyoumiza.
Baltika ni biere without alcoholmm naijua coke zero
Kabumbu ya Barca vs PsGMatokeo gani?
Hujui sukali gulu!!!mimi apa![]()
Ungejua kuwa huku kumenisaidia! Home hapaliki hapalaliki...! Yule binti ya kinyiramba arsenal ikifungwa ni tabu...hafungwi mtu acha watu wale raha we upo zako zambia uko



Noooo!
Paprika wa Mondray bhana! Sema akiona comment yangu tuu anakufa kimoyo moyo..!
Siwezi kumpindua mdogo wangu Mondray...

Mrembo, upo!Aya mama angu
Mshenga vipiii
