Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaaaa! Umeishaijua sasa...!naijua [emoji85] nakulaga na lee
Hahaaaa! Umeishaijua sasa...!naijua [emoji85] nakulaga na lee
NIMESIKIA. INASIKITISHA SANA.Acha tu mkuu ,kuna mfanyabiashara kajiua Dodoma wamekamata mzigo wake wa viroba wa pesa nyingii,kashindwa kuvumilia so sad,na baltika zilivyojaa wengi tutawapoteza ....
hahahah lee kakataaUtabwagwa!!!
Napata mashaka[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji120][emoji120][emoji120] asantehahahahh polee
Hiii! My crushHelloo!! [emoji137][emoji137]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni wakazi wa chattle
140kHiii! My crush
Ya nini mkuu NyageiNapata mashaka
Hii my shemela...! Mzima wewe?Hiii! My crush
Kweli ,kuna mtu mnywaji alisema bora anywe bia kumi kuliko hata baltika moja,amasema ni ladha tu alafu sio nzuriHiyo sio bia
Eti chattle! Tz you with code words..[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji134]Kuna mtu kakimbia Jiji kwa kuogopa Ugeni. Tatizo lugha.
[emoji126] hii emoji kwa kidume mwenzioYa nini mkuu Nyagei
Poa kabisa za kwa Lungu?Brother karibu
Mutoto ya ndama ni aje?
Haaaaaa! Mkuu paprika ni shemela tuu![]()
Hongera Paprika
Hakika bia ni lazima iwe na kilevi hii kusema haina kilevi basi ni vibati hivyoKweli ,kuna mtu mnywaji alisema bora anywe bia kumi kuliko hata baltika moja,amasema ni ladha tu alafu sio nzuri