BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ni baltika mkuu viharufu vya bia na ladhaNi nini?
Ni baltika mkuu viharufu vya bia na ladhaNi nini?
HakikaKweli mkuu bila hayo hatukamiliki
Kabisa ,ni mzigo wa pesa nyingi sana na bado majukumu labda pia akawaza kesi usumbufu duh alikosa hata wa kumshauri maana ,labda aliwaza kufungwa mengi sana naona alifikiria.aisee alikua anafkilia mkopo angelipaje
mda wa mwezi mmojaMbona nilisikia walipewa muda ili wamalize mizigo iliyopo store?
Mpk hurumaKabisa ,ni mzigo wa pesa nyingi sana na bado majukumu labda pia akawaza kesi usumbufu duh alikosa hata wa kumshauri maana ,labda aliwaza kufungwa mengi sana naona alifikiria.
Ile kitu ni sheedah! Unaweza ukahisi uko Neptune hukooo mbalihahahhah ile tam tam
hahahhah mm mtoto bwana unanikomazaIle kitu ni sheedah! Unaweza ukahisi uko Neptune hukooo mbali

Polee mkuu! So are you okey?Guys niadje am back nilikua nimepata tatizo kidogo. Au mmeupunyua nyote... In lee empire voie
Nipo ok kabisa mzima wa afyaPolee mkuu! So are you okey?
Angekopesha kama ingewezekana 1bn ni kiasi kikubwa sanamda wa mwezi mmoja
bora aisee mana unapoelekea huko ni kupofuana machoBaaasi ! Let me stop it!![]()

ThanksBrother karibu
Mutoto ya ndama ni aje?
Looh! Sometimes we need to walk on risk calculated zones...!Angekopesha kama ingewezekana 1bn ni kiasi kikubwa sana
Hahaaa! Basi shemejito!bora aisee mana unapoelekea huko ni kupofuana macho![]()
Dadeq hivyo vingereza visitishwe aisee namm nieleweLooh! Sometimes we need to walk on risk calculated zones...!
Nahisi alishindwa kusoma alama ya nyakati..!
.....yenye ladha ya?Ni juice