Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
sawa baba mchungajiWacha zambi
sawa baba mchungajiWacha zambi
Kuna nn bukavu mancc😡mondray
Lala na lee[emoji1]Mkiweka hiyo pic hamnioni mambo ya kuota usiku wengine tulala peke yetu
Ulipanda ndotoni tuHii nilishaipanda na kula maisha!!!.....[emoji4]
Nilimwona Singidalee yupo mkoani
hahahah akitoka singida tutalala wote kama kawaidaNilimwona Singida
Lala na lee[emoji1]
nkwei![emoji1]JE WAJUA??
Barack Obama na Rais wa Indonesia wanafanana kama mapacha/ndugu
Hahahaha Werasson huoni walivyo tofauti jamani...au macho yangu na maelezo nayo yanaonesha wako tofauti sana kimaumbile mimi ndio ninavyoona je wewe unaonaje mkuu?Ni mu-heavy kwa nyanja gani?
[emoji1] Halafu???JE WAJUA??
Mwalimu nyerere aliwahi kuibiwa fimbo yake mkoani kigoma katika eneo la Gungu
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu
Akaikuta ipo ikulu, akaulani ule mtaa.[emoji1] Halafu???
Usalama hapo wa kudumu kweli halitaanguka siku moja?nahisi hatari
Hahaahaha Kigoma mweeh!hicho kifimbo kilikua hakichukuliki waliwezaje?
Duniani wawiliwawili
Though hakufanikiwa! I guessJE WAJUA??
Masaa machach kabla ya kifo cha Albert Einstein alikua bado ana prove "Theory of Everything"
Alifanikiwa mkuu. Genius level advanceThough hakufanikiwa! I guess