Makapuku Forum

Makapuku Forum

JE WAJUA??
Unapo piga chafya kila kila shughuli ya ndani ya mwili husimama (Metabolism Activities), hadi moyo husimama kwa muda
48fb15a20c8695c35c39e1c203372d75.jpg
ab28b422054037797eb2b3e1cecee9a3.jpg
 
Na utakufa tu
Mi naogopa maradhi yanayotesa km kansa,ukimwi,kiharusi n.k
Kufa siogopi sababu ni kitu cha lazima isipokuwa naogopa kuteswa na magonjwa tu
....
najua nitakufa tu lkn ndio naogopa
 
Na utakufa tu
Mi naogopa maradhi yanayotesa km kansa,ukimwi,kiharusi n.k
Kufa siogopi sababu ni kitu cha lazima isipokuwa naogopa kuteswa na magonjwa tu
....
Eti ukishazikwa wamekufukia MUNGU anakuamsha, unaanza kupambana na maudongo yaliyo kufinya + joto duuuuh Shunie kazi unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom