Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila mpitie mondray
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila mpitie mondray
me mzima mama mchungaji hofu kwako tu hope upo poaHi Shunie ,namshukuru Mungu siku inaenda vema mzima lakini? ubarikiwe dear
hahahhah cheka mama mchungaji ukifurahi ndio furaha yanguHahahaha Shunie sijacheka siku nzima
mpitie Babu yangu tuNimpeleke wapi mie
[emoji102] [emoji102][emoji87]
JE WAJUA??
Kisiwa cha Croatian kutoka juu kinaonekana kama Fingerprint
JE WAJUA??
Kuna nyumba Dresden German ambayo mvua ikinyesha inaliza mziki
mm mmojawapo naogopa sana kufaJE WAJUA??
Kifo ni kitu cha pili kinacho ogopwa zaidi na binaadam, chakwanza ni Kushindwa(Failure)
Utakufa na utaoza ubaki mifupamm mmojawapo naogopa sana kufa
Nitakuja tuu, wala msiwe na hofu!!lini sasa utakuja tena
najua na nitakuka pia lkn ndio nakiogopaUtakufa na utaoza ubaki mifupa
JE WAJUA??
Kifo ni kitu cha pili kinacho ogopwa zaidi na binaadam, chakwanza ni Kushindwa(Failure)
Babu amepumzika, ongea taratibu usimwamshempitie Babu yangu tu
hahahah Babu mzee wa totoz [emoji23]Babu amepumzika, ongea taratibu usimwamshe
JE WAJUA??
Masaa machach kabla ya kifo cha Albert Einstein alikua bado ana prove "Theory of Everything"