JE WAJUA??
JOHNNY DEPP aliacha shule ili awe msanii wa muziki ila akawa muigizaji
JE WAJUA??
Kuna beach nchini Mexico ambayo yote imejificha ndani ya pango
Ni pm mkuu navihitajiNAVIUZA KWA MNADA![]()
JE WAJUA???
Zaidi ya watu 65000 nchini Japan wana miaka zaidi ya 100
Msanii Marius Kedziersk alizaliwa bila mikono lakini aliapata tuzo ya mchoraji bora
WaaaaaaooooooohHabari humu ndani!!! Nimewamisi sana
Namimi nimekumissHabari humu ndani!!! Nimewamisi sana
Shemela wetu hope umzima??
Njema tumekumis pia karibu sanaHabari humu ndani!!! Nimewamisi sana
Mungu atujalie maisha marefu yenye furaha
Mzima wa afya!!! Mihangaiko ya hapa na pale tu!Shemela wetu hope umzima??
Asante mkuuNjema tumekumis pia karibu sana
Af wewe! Asali urine na majukumu ukimbie!!!Mushenga wake shunie atalipa agizaa ....![]()
![]()
![]()

Niko Palii, najua hukosi ya RedbullBajet ipo kwa le mushenga