Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ahsante sana mkuu hauna kapicha kake
tapatalk_1488902286231.jpeg
tapatalk_1488902292783.jpeg
 
Eti ukishazikwa wamekufukia MUNGU anakuamsha, unaanza kupambana na maudongo yaliyo kufinya + joto duuuuh Shunie kazi unayo
Ninachoamini ukifa umekufa na siyo habari maana tumezoea kuchinja kuku(kuwaua) na kula hivyo nasmini kaburini hakuna lolote la maana na hata jehanamu ni stori za kutishana tu

Katika maisha yangu yote huwa sipendi kumfanyia mtu jambo baya kamwe siyo kwamba naogopa sijui mnaita dhambi ila tu sipnagi faida ya roho mbaya pia naamini usemi wa shida haiji mara moja hivyo unayemtendea mabaya leo ndo anaweza kuwa msaada wako baadaye
.....
 
Ninachoamini ukifa umekufa na siyo habari maana tumezoea kuchinja kuku(kuwaua) na kula hivyo nasmini kaburini hakuna lolote la maana na hata jehanamu ni stori za kutishana tu

Katika maisha yangu yote huwa sipendi kumfanyia mtu jambo baya kamwe siyo kwamba naogopa sijui mnaita dhambi ila tu sipnagi faida ya roho mbaya
.....
Point zako fikirishi mkuu ila hukumu na MUNGU yupo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom