Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Ni mawazo yangu na ninaheshimu ya kwako pia...mimi siwezi kufurahia kifo cha mtuSio kweli
Wapo wengi tu uhuzunika kinafiki...siyo kila kifo cha mtu kinahuzunisha mfano kuna misiba mingi huwa hainiumi na hata kuzika nazika huku moyoni nikiwa na furaha....
.Hivyo hata kifo chako au changu hakiwezi kuhuzunisha wala kuumiza watu wote ndiyo maana kuna usemi wa Kufa kufaana
.....
Sijakuelewa mkuuHeavy? How? Ina uhusiano gani na mate?
Hili sikujua!JE WAJUA??
Adolf Hitler na Osama bin Laden wato wali chaguliwa kwenye tuzo za Amani (NOBLE PRIZE)
Hakika![]()
Nawatakia siku njema
.....
Njema umeamkajeHabari za asubuhi wana familia
Nawe pia uwe na siku njema ubarikiweNawatakieni siku njema.....b'dae![]()
Morning nawe pia kapuku ubarikiweMorning kapukuz..!
Muwe na siku njema
Nawe pia uwe na siku njema ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa magazeti mkuu Lee uwe na siku njema ubarikiweTayari mkuu
Ila ukorofi wake alipojaribu kumletea Nigel De Jong aliishia kuvunjwa mguu, tupe picha.
Binadamu tunatofautiana hisia ndio maana wengine mnaogopa kuingia mochwari wakati wengine tunachukulia kaeaida tuNi mawazo yangu na ninaheshimu ya kwako pia...mimi siwezi kufurahia kifo cha mtu
Karibu mkuuMambo vp wadauu...nimerudi tena
Kweli Mkuu ila utaogopa kama hujawahi fiwa Mkuu lakini kunawakati woga unaishaaa!Na mochuari utaingia tu.unapoendelea kuishi hakika unakutana Na mengi Na unajifunza mengi mnoo,Ubarikiwe Mkuu BitozBinadamu tunatofautiana hisia ndio maana wengine mnaogopa kuingia mochwari wakati wengine tunachukulia kaeaida tu
![]()
![]()
![]()
........
Hatari sana![]()
Utawala wa Sizonje
![]()
![]()
![]()
......
Duuh sikujua kabisa aiseeKwa jirani hapa mkuu! Hupajui? Zambia![]()