Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Waoh!!!JE WAJUA??
Dubu weupe (Polar Bear) kwa ndani ana ngozi nyeusi.

Waoh!!!JE WAJUA??
Dubu weupe (Polar Bear) kwa ndani ana ngozi nyeusi.

I knowJE WAJUA??
Jasho la Kiboko ni lekundu

Nitalifanyia kazi hili sualaJE WAJUA??
Kama umekosa usingizi anza kuhesabu 99 kurudi nyuma hautafika 50 utakua umeshaanza kusinzia
Ndio mkuu, Siku zote madikteta hujiona wao ni viongozi wa milele.Kumbe Stalin alifia madarakani?
JE WAJUA??
Mchwa wanaathiriwa na Vibration ya muziki, jinsi unavyo ongeza sauti ya muziki ndio na wao wanaongeza kasi ya kutafuna vitu vyako mara mbili zaidi

JE WAJUA??
Awali GOOGLE ilipewa jina la utani Backrub!
JE WAJUA??
COCA COLA ilitafsiriwa kwa kichina ikimaanisha "Kuufanya mdomo uwe na furaha"
JE WAJUA??
Mchwa wanaathiriwa na Vibration ya muziki, jinsi unavyo ongeza sauti ya muziki ndio na wao wanaongeza kasi ya kutafuna vitu vyako mara mbili zaidi
JE WAJUA??
Adolf Hitler na Osama bin Laden wato wali chaguliwa kwenye tuzo za Amani (NOBLE PRIZE)
JE WAJUA??
IRON MAN ana mavazi zaidi ya 50 yakiwemo Hulkbuster kwa ajili kupigana na Hulk, na Thorbuster kwa ajili ya THOR