Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Oih! Ni gani man?Morning ma dude!!!
Oih! Ni gani man?Morning ma dude!!!
Ni bomba nyanda wane!! Wapi hiyoOih! Ni gani man?
Nimeona.Tetramelyz Mussolin5 Lee kaashaweka mambo njooni.
Downtown kwa Edgar LunguNi bomba nyanda wane!! Wapi hiyo
Ahaaa ndii wap huko nkoiDowntown kwa Edgar Lungu
Umeamini eeehNimeona.
Leo Katika Historia:
1985 - Wimbo wa " We are the World " yaachiwa kwa mara ya kwanza huko Marekani.
Wimbo huo maarufu uliandikwa na Michael Jackson na Lionel Richie.
Producer alikuwa Quincy Jones.
Baadhi ya wasanii walioshiriki ni Micjael Jackson, Janet Jackson, Lionel Richie, Kenny Rogers, Steve Wonder, James Ingram na wengineo.
Ulikuwa ni wimbo wa hisani kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Waafrika waliokumbwa na baa la njaa hasa Ethiopia.
Ni moja kati ya nyimbo zenye mafanikio kwani iliuza zaidi ya nakala Milioni 20.
1983 - Manucho anazaliwa.
Mshambuliaji wa zamani wa Man Utd, Hull city, Rayo Vallecano na timu ya taifa ya Angola.
Hakufanya vyema akiwa Man Utd licha ya kusajiliwa kwa mbwembwe.
Ahsante mkuu nakuaminia siku zoteLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Kweli ili tujikumbushie. Halafu 2009 wakairudia kwa ajili ya Haiti![]()
![]()
![]()
Mwenye video atupie
.....
1984 - Mathieu Flamini anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa zamani wa Arsenal, Ac Milan na Crystal Palace.
1987 - Hatem Ben Arfa anazaliwa.
Winga mahiri wa zamani wa Newcastle, Hull City, Nice na sasa PSG.
Mchezaji mwenye kipaji maridhawa ambaye ameshindwa kutamba kwa muda mrefu.
Ila ukorofi wake alipojaribu kumletea Nigel De Jong aliishia kuvunjwa mguu, tupe picha.![]()
![]()
![]()
![]()
Ana sifa ya ukorofi km waarabu wenzie
....