Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Tuseme AmenKwani kuna ubaya mkuu .....
Yote kheri na yanawezekana
Tuseme AmenKwani kuna ubaya mkuu .....
Yote kheri na yanawezekana
lee akiruhusu tutachezaShunie twende tukacheze movie![]()

wa masaji ya miguu!Asuman yupi mkuu
Kapotea juu kwa juuwa masaji ya miguu!
Namba zake hizi mpigie 07129595226Kapotea juu kwa juu
Mkuu hiyo namba sio ya bashite kweli maana sio kirahisi tu uitoe tuNamba zake hizi mpigie 07129595226
R.I.P Bruce LeeJE WAJUA??
BLUCE LEE ni mtu pekee ambaye alikua anaweza kkupiga push up 100 kwa mkono mmoja akitumia kidole gumba na kidole cha mwisho. Pia alikua anaweza kurusha punje ya mchele juu halafu akaidaka na vijiti.
Kung-fu level Awesome..
Huyu jamaa kaleta balaa duniani...Ubashite
hahahhhhhhMVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?
DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!
MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.
DAKTARI: Nashukuru umeelewa somo!!
Balaa gani hiloHuyu jamaa kaleta balaa duniani...Ubashite
Nakupenda sana jmn![]()
kaka akee
thanks kaka akee nakupenda pia, hope uko poa kabisa.Nakupenda sana jmn