Hapa tunaishi kama familia ni tofauti na huko kwenye forums zingine, ukiwa na tatizo, wazo, kitu unakifaham basi unakuja tunachangia. Heshima kama kawa. Humu watu wanaishi kwa couples wengi ni double, nadhan ww ni jimbo waz so nadhan tunaweza tukafanya uchaguz nikawa mbunge wako