Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,936
Leo katika Historia:
Niwatakie maandalizi mema ya Weekend, Ijumaa Kareem na Kwaresma njema
Thanks God Its Friday. TGIF
le MussoLeo katika Historia:
Niwatakie maandalizi mema ya Weekend, Ijumaa Kareem na Kwaresma njema
Thanks God Its Friday. TGIF
le MussoAhsante mkuu kwa magazeti ya leoTuwe na Siku njema wakuu
Huwa najisikia vibaya nikisikia au kuona ajaliUmesisimuka???![]()
Mkuu Mussolin5 ubarikiwe sana maana unatunoa ,historia ni nzuri sana ,Na akili.inakua active sana asante Ubarikiwe sana sanaLeo katika Historia:
Niwatakie maandalizi mema ya Weekend, Ijumaa Kareem na Kwaresma njema
Thanks God Its Friday. TGIF
Goodmorning Madam, I'm fine.....amen.....be blessedGoodmorning Sir how are you..stay Blessed
Soon naanzaAsante sana kwa kutuwazia kutushirikisha mema nasubiri kwa hamu kusoma Hapa karibu
hahahh we mukongo unawaza dogo kuzimiwa tuKwanini umeipenda? Kuna dogo unamzimia?
Sina maana hiyo-in Jk's voiceHuwa najisikia vibaya nikisikia au kuona ajali

asa ultaka niwaze nini?hahahh we mukongo unawaza dogo kuzimiwa tu

Hahaaaaaa mhuuuuuuu!!! In steve nyerere voiceSina maana hiyo-in Jk's voice![]()
AmenMkuu Mussolin5 ubarikiwe sana maana unatunoa ,historia ni nzuri sana ,Na akili.inakua active sana asante Ubarikiwe sana sana
haaahhahasa ultaka niwaze nini?![]()
Mmhh.mbona umeshtuka Mkuu mi nadhani habari hiyo kila mtu kapokea kwa hisia tofauti maana ukitafakari sana ni tukio la hatari Kumeza ulimi wako mwenyewe imagine!Umesisimuka???![]()
aya Mama.....Mmhh.mbona umeshtuka Mkuu mi nadhani habari hiyo kila mtu kapokea kwa hisia tofauti maana ukitafakari sana ni tukio la hatari Kumeza ulimi wako mwenyewe imagine!


















Hahaha...MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Huyo namlisha majani.
MWANDISHI:Na mweusi!!!?
MZEE:Namlisha majani pia.
MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Mweupe.
MZEE:Huyo nimeanza mwaka jana.
MWANDISHI:Na Mweusi!!!?
MZEE:Mwakajana pia.
MWANDISHI:Hivi Ng'ombe wako huwa wanalala wapi?
MZEE:Ng'ombe yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.![]()
MZEE:Analala hapo kwenye boma.
MWANDISHI:Na mweusi analala wapi!!?
MZEE:Analala kwenye boma pia.
MWANDISHI:Kwanini nikikuuliza kuhusu Ng'ombe wako naww unaniuliza mweupe au mweusi alafu unatoa majibu sawa????
MZEE:Kwasababu Ng'ombe mweupe ndo wakwangu.
MWANDISHI:Enhe! Na huyo mweusi ni wanani??
MZEE:Ni wangu pia.
![]()
U 2Goodmorning Sir how are you..stay Blessed
PapaaItakuja movie nyingine![]()
Kirat kanishindaItakuja movie nyingine![]()