Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,936
Blaza chimbo wapi unakula mwenyewe?.....unafanya biyashala ya almasi nini?Papaa
Blaza chimbo wapi unakula mwenyewe?.....unafanya biyashala ya almasi nini?Papaa
Baba mchungajiiii
Nitetee mamy wanguMmhh.mbona umeshtuka Mkuu mi nadhani habari hiyo kila mtu kapokea kwa hisia tofauti maana ukitafakari sana ni tukio la hatari Kumeza ulimi wako mwenyewe imagine!
Kweli sikujuaJE WAJUA??
Mwili wa mtu mzima umeunndwa na Atom 7, 000,000, 000, 000, 000, 000, 000, 000,000
7 Quadrions
Umeisoma namba yote au ulipita tuKweli sikujua
Namsubiria kipanga wangu shunie mmi zimenishindaUmeisoma namba yote au ulipita tu
Hahaaa hakuna kitu sikiwez kama nambaNamsubiria kipanga wangu shunie mmi zimenishinda
JE WAJUA??
Mwili wa mtu mzima umeunndwa na Atom 7, 000,000, 000, 000, 000, 000, 000, 000,000
7 Quadrions
JE WAJUA
Kwenye shindano la kutafuta watu wanao fanana na CHARLIE CHAPLIN na yeye mwenyewe alishiriki lakini alitoka mshindi wa tatu
Mkuu nitafute tule woteBlaza chimbo wapi unakula mwenyewe?.....unafanya biyashala ya almasi nini?
Ila Mimi sikupata bashiiiiteeeHahaaa hakuna kitu sikiwez kama namba
Hahaa aisee ninaweza kuhesabu hela tu ila namba siwezIla Mimi sikupata bashiiiiteee
Baba mchungajiiii
