Duh hii kibokoJE WAJUA
Kwenye shindano la kutafuta watu wanao fanana na CHARLIE CHAPLIN na yeye mwenyewe alishiriki lakini alitoka mshindi wa tatu
AiseeJE WAJUA??
Bajeti ya kila Episode moja kwenye series ya WALKING DEAD ni Dollar Million 2. 8
Sijui wanapata faida shilingi ngapi?
Hahaha...hatariJE WAJUA??
Neno SWAG ni neno lililoanza kutumiwa miaka ya 60 wanaume mashoga likiwa linamaanisha Secretly We Are Gays
Ukisikia mtu anasema mm nina swag piga kofi huyoHahaha...hatari
Why?Kweli mama mchungaji bado ana kazi kubwa
Why?JE WAJUA??
Leonardo da Vince alitumia miaka 12 kuchora lips za monarisa

Mpaka sasa nazitafuta hizo sababuWhy?![]()
Weka pichaIla Mimi sikupata bashiiiiteee
Mwaka huu utajua kuzisomaHahaa aisee ninaweza kuhesabu hela tu ila namba siwez
Ila kweli naanza kujuaMwaka huu utajua kuzisoma
JE WAJUA??
Neno SWAG ni neno lililoanza kutumiwa miaka ya 60 wanaume mashoga likiwa linamaanisha Secretly We Are Gays

JE WAJUA??
BLUCE LEE ni mtu pekee ambaye alikua anaweza kkupiga push up 100 kwa mkono mmoja akitumia kidole gumba na kidole cha mwisho. Pia alikua anaweza kurusha punje ya mchele juu halafu akaidaka na vijiti.
Kung-fu level Awesome..

Mdogo wako anajuaWeka picha