Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Wuhuuu! Linalotakiwa kuwa basi na liwe. Leo, kesho na hata milele!Me nakupenda msukuma![]()
Wuhuuu! Linalotakiwa kuwa basi na liwe. Leo, kesho na hata milele!Me nakupenda msukuma![]()
SwalaamaaaaZa Valentino?
hahahhhhWuhuuu! Linalotakiwa kuwa basi na liwe. Leo, kesho na hata milele!
We subiri Lee aje anifume nimekubeba namna hii naValentinika nawe. Sijui itakuwaje but I am readyhahahhhh


!
Hatafanya loloteWe subiri Lee aje anifume nimekubeba namna hii naValentinika nawe. Sijui itakuwaje but I am ready!
![]()
Nimeona wabongo wanachangia mambo kimihemko tu wakati uelewa wao wa masuala ya kisheria ni finyu kila kitu sana kiherehere
Hahahaahh shululu mambo unayoyapenda mnataka kuniulia mume presha ukoHatafanya lolote
We subiri Lee aje anifume nimekubeba namna hii naValentinika nawe. Sijui itakuwaje but I am ready!
![]()



Ma wiii miss u jamani
miss u too wii, happy valentine loveMa wiii miss u jamani
Ma wiii miss u jamani
Tanx hny,de same to umiss u too wii, happy valentine love
Leo katika Historia
1912 - Arizona yawa Jimbo la 48 Nchini Marekani.
1946 - Bank Of England yamilikiwa rasmi na Serikali ya Nchi hiyo.
Kabla ya hapo ilikuwa inamilikiwa na kwa hisa na wadau mbalimbali.
Ni Bank kongwe ya pili Duniani ilianzishwa 1694.
1945 - Rais wa Marekani Franklin Roosevelt anakutana na Mfalme Ibn Saudi wa Saudi Arabia katika meli ya Marekani ijulikanayo kama USS Quincy na kufanya mazungumzo.
Mazungumzo hayo yanafufua Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Nchi hizo mbili.