Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Njema nashukuru MunguPoa za kupotea
Njema nashukuru MunguPoa za kupotea
kwako piaaMakapuku wote muwe na siku njema
Kuzuri sana mkuu ..karibuHuku kuzuri eheeeee!
Samahani mimi Mgeni nimewapitia ni wasalimie.
Poa werrasonmambo flem zilow
HiPoa werrason
PouwazMamboz
Za Valentino?Poa werrason
Sio hivyo aisee, unapotea hivyoMpo nyie watu ama ndo mwapendana leo
Npo wangu mambo c mambo ili mradi vuluvuluuu tuSio hivyo aisee, unapotea hivyo
Poa, sisi tupo tunagufurika tuNpo wangu mambo c mambo ili mradi vuluvuluuu tu
Haya wangu,ndo la muhimu hiloPoa, sisi tupo tunagufurika tu
Huyu mama huyu sijui mpemba, ntamwongelea kuleeee sio kwa makapuku hapa![]()
copy & paste
Poa mshkaji wangu happy valentine dearMamboz
Me nakupenda msukumaMimi leo Valentine hii jamani ni kudekeshwa tu na bebi wangu jamani. Msukuma haki ya nani mpaka mniroge!
Kwa makapuku wote. Muwe na sikukuu njema ya wapendanao. Hata wewe unayejiona kuwa hupendwi (kama mimi nisivyopendwa na Shunie), jua kuwa yule mwanamke shujaa aliyekuleta hapa duniani anakupenda sana. Hata kama ameshatangulia kwa Muumba wetu, ukumbuke na kuuenzi upendo wake siku ya leo. Na zaidi ya yote, Mungu Aliyekuumba ana upendo wa ajabu kwako.
Hata uwe umepondeka namna gani, hata uwe unapita katika jangwa lenye ukame wa kutisha namna gani katika maisha yako, maadam ungali ukipumua, matumaini yangalipo and it isn't over. Jipende, wapende wengine, na endelea kumtegemea Mungu. Jangwa hatimaye litakuwa na mwisho na Kanaan yako itaonekana na siku moja utaifikia. Te amo Omnes (I love you all!)![]()
![]()
