Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shemela unajua mmepitia mengi rudisha moyo nyuma umemkimbia Mondray kwa nn wakati harusi ilikua ya aina yakeHahahahaaa anasemaje?
Shemela unajua mmepitia mengi rudisha moyo nyuma umemkimbia Mondray kwa nn wakati harusi ilikua ya aina yakeHahahahaaa anasemaje?
Habari za asubuhi familia? Mmeamkaje? Mie sijambo kidogo, nasumbuliwa na kifua na mafua maana huku kwetu vumbi ni kali sana.
Pole sana kuwa na amani ikibid fika hospital ucheki tunakupenda sanaAsante sana nimetumia ila naona mwili unachoka tu. Sijui ni malaria au ndo uzee unapiga hodi![]()
Ushasajiliwa mkuu gonga like upate like kapuku ndo penyewe ,maupendo mubashara ya kutosha
Asante sana nimetumia ila naona mwili unachoka tu. Sijui ni malaria au ndo uzee unapiga hodi![]()
Ooooooooh bhinamu unamanisha honeymoon inaweza ikaleta matokeo chanya????Kipimo cha mimba kinaitwaje?

Bhinamu Kwan mjomba wako huwa anakoseaga ??Maneno sawia kabisa 😀
SwadaktaBhinamu Kwan mjomba wako huwa anakoseaga ??
Ooooooooh bhinamu unamanisha honeymoon inaweza ikaleta matokeo chanya????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
BwaaaaanaaaaaabwaaaaaaanaaaaaaahHa ahahahhahahha
Unaikumbuka ile BIG RESULT NOW- BRN eti Matokeo Makubwa Sasa, kugelezea mbinu za Malaysia

Hahahaaa usiongee kwa nguvu bhana,.
Karibu mkuu!Jamani nisajilin waungwana
Asante sanaPole sana kuwa na amani ikibid fika hospital ucheki tunakupenda sana
HahahaaaaKipimo cha mimba kinaitwaje?
kijani kibichiiiiBila shaka hii itakuwa Msumbiji. Kuna mashamba makubwa huko na majani yake yakiwa machanga ni mboga mashuhuri sana. Ni biashara inayolipa mno!
imemtokea nn
HahahhhhhahShabaash! Mie simjui huyo naniii ila ingekuwa powa tu kama ma mkwe angemtoa nduki usiku wa manane ikiwezekana na kelele za "mwizi! mwizi!" juu. Wengine katuzibia bahati zetu kwa Shunie bure tu...ndukiiiiii![]()
Karibu sanaaZa asubuhi wakuu, kumekucha.
Leo katika Historia inarudi rasmi, tuonane baadae kidogo.
Naombeni sapoti yenu.