Makapuku Forum

Makapuku Forum

Majibu mengine bwana!
07a687ecb2cce1e43b5a09e9b0a55489.jpg
 
Umma ungekuwa unajua nguvu ulizonazo mbele ya washikilia mpini kamwe usingetawalika wala kuhadaika kirahisi. Umma ni maji na washikilia mpini ni samaki. Samaki bila maji hawezi kuishi lakini uwepo wa maji haukamilishwi na uwepo wa samaki...Ngoja nikome hapa nisije nikapachikwa uchochezi bure. Jumamosi inaendeleaje Makapuku?
c1ef517e4bd4ca52b3ffa9f1b37fe12b.jpg
 
Bongo watawala wanatumia kanuni ya divide n rule[emoji22]
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unaparamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajaribu kupapasa uviweke sawa mara taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ilikutokea ni nini [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom