Thanks mkuu ,pamoja sanaNa taji la mhalifu mjinga kwa siku ya leo linamwangukia huyu jamaa wa jimbo la South Carolina kule Marekani.![]()
Mods pliz unganisha huu uzi na Makapuku Forum
Anza ku like za wenzio kwanzaNinashida na likes 100 za haraka. Gonga hapa twende sawa.
Karibu sana RRONDO

Naona umemuongezea jina mkuu
kumekucha kweli, Ila mkuu huku njaa tupuMakapuku kwema kumekucha mapambano yanaendelea tumshukuru Mungu kutuamasha salama
kwanza ndo umeipa umaarufu ngoja nikapige chabo maana huwa sielewi nin kinaendelea kule....Yani acha tu, kila nikiingia humu chitchat nakuta thread hii inatembeaa mbayaa.
Afu hao wachanguaji sasa, yaani wahuni wahuni flani hivii.
Michango imekaa kitoto, inaboa, inakeraa.
Mods ondoa bhana hii thread, aagrrrhrriihh!!
Nitaua mtu aisee.
Hahaaaa mkuu raisi pekee ndo anajua wapi kuna njaakumekucha kweli, Ila mkuu huku njaa tupu